Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa yanga nayo timu au kikundi cha masela wanaokwenda kwa nguvu ya mpunga wa bwana gharib,, we si umeona leo walivyotepeta bosi ajafanya muamala,, azam hatuwezi kuwachukulia poa ila yanga sio kipimo..Azam sio ya kuichukulia poa. Si unaona walivyoipapasa Yanga?
Isije ikawa ni uto fc. Kufungwa goli 9 si mchezoModerator kagoma kutunogeshea uzi na "live" lakini tumeshinda
Pamoja sana mkuu Simba nguvu Moja na burudani ya Soka safi izidi kudumu msimbazi daima.Shukran za dhati ziende kwa Scars Nyamizi Dam55 XII Tz Ekuweme Dabil ESPRESSO COFFEE lwambof07 kinje ketile park don Nyonzo bin mvule.
Pia bila kuwasahau bhagosha waukweli ngosha wa mwanza Bill ChamasonMorisonBwalyason Utopologist Mshana Jr tuko pamoja.
wadau wengine wote wakali wa apdates OKW BOBAN SUNZU Ghazwat .
Tukutane tena kwenye muendelezo wa ushindi pale Simba ilipoishia.
Simba nguvu moja.
Simba 2-0 Namungo ,full time.Tupo ntwara huku ndanii no network
Umenisahau..najikumbushaShukran za dhati ziende kwa Scars Nyamizi Dam55 XII Tz Ekuweme Dabil ESPRESSO COFFEE lwambof07 kinje ketile park don Nyonzo bin mvule.
Pia bila kuwasahau bhagosha waukweli ngosha wa mwanza Bill ChamasonMorisonBwalyason Utopologist Mshana Jr tuko pamoja.
wadau wengine wote wakali wa apdates OKW BOBAN SUNZU Ghazwat .
Tukutane tena kwenye muendelezo wa ushindi pale Simba ilipoishia.
Simba nguvu moja.
Simba mano likwelikwe. Yani mtandao kufungua next page dkk za kutoshaSimba 2-0 Namungo ,full time.
Wewe bana unakeraaaaaaSemq nabi alikiwa mjanja, akaona mmmh kwa kikosi hiki cha simba na huyu sakho anavyofanya vitu ambavyo vinsababisha mpira wa live uonekane umeeditiwa akaona bora ajieungue halafu zigo la mavi limwangukie kaze
Naye kaze akashtukia mchongo utaenda kumuaribia ikabidi amtafute pablo kisirisiri akasema naomba unipe mbinu ili na mimi nimfundishe makambo walau awe na robo ya uwezo wa kile anachokifanya sakho
Pablo akasema ndugu yangu mimi nimehudumu pale madrid tena enzi ya ronaldo lakini sikuwahi kuona ufundi wa mchezaji kama wa huyu dogo. Huyu dogo hajawa mchezaji kwasababu tembele nyumbani halichemki kama mayele, huyu dogo kawa mchezaji kwasababu mpira upo damuni
Hayo yalikuwa ni maneno machungu na yakumkatisha tamaa kaze, kwa hiyo ku loose alianzia hapa