FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

Kwa hiyo namungo ndio kichwa cha biashara kuelekea fainali?
 
Azam sio ya kuichukulia poa. Si unaona walivyoipapasa Yanga?
Sasa yanga nayo timu au kikundi cha masela wanaokwenda kwa nguvu ya mpunga wa bwana gharib,, we si umeona leo walivyotepeta bosi ajafanya muamala,, azam hatuwezi kuwachukulia poa ila yanga sio kipimo..
 
Mambo ya sheria kwenye soka yanashangaza sana

Viongozi wa mpira TFF na bodi ya ligi wote wameona kilichofanyika leo kwa namungo

Lakini bado utakuta kwenye ligi ya bara badala ya simba apewe point bila kusumbuliwa utaona tena TFF na bodi ya ligi wanapanga mechi simba na namungo wacheze tena wakati wote matokeo wanayajua yanakuwaje namungo ikikutana na simba

Ni visheria fulani hivi ambavyo vimewekwa ili kufanya ligi ionekane ndefu
 
Shukran za dhati ziende kwa Scars Nyamizi Dam55 XII Tz Ekuweme Dabil ESPRESSO COFFEE lwambof07 kinje ketile park don Nyonzo bin mvule.

Pia bila kuwasahau bhagosha waukweli ngosha wa mwanza Bill ChamasonMorisonBwalyason Utopologist Mshana Jr tuko pamoja.

wadau wengine wote wakali wa apdates OKW BOBAN SUNZU Ghazwat .
Tukutane tena kwenye muendelezo wa ushindi pale Simba ilipoishia.

Simba nguvu moja.
Pamoja sana mkuu Simba nguvu Moja na burudani ya Soka safi izidi kudumu msimbazi daima.
 
Sema nabi alikuwa mjanja, akaona mmmh kwa kikosi hiki cha simba na huyu sakho anavyofanya vitu ambavyo vinasababisha mpira wa live uonekane umeeditiwa akaona bora ajieungue halafu zigo la mavi limwangukie kaze

Naye kaze akashtukia mchongo utaenda kumuaribia ikabidi amtafute pablo kisirisiri akasema naomba unipe mbinu ili na mimi nimfundishe makambo walau awe na robo ya uwezo wa kile anachokifanya sakho

Pablo akasema ndugu yangu mimi nimehudumu pale madrid tena enzi ya ronaldo lakini sikuwahi kuona ufundi wa mchezaji kama wa huyu dogo. Huyu dogo hajawa mchezaji kwasababu tembele nyumbani halichemki kama mayele, huyu dogo kawa mchezaji kwasababu mpira upo damuni

Hayo yalikuwa ni maneno machungu na yakumkatisha tamaa kaze, kwa hiyo ku loose alianzia hapa
 
Wanayanga wenzangu bado hatujakubaliana vizuri hapa

Kwa hoyo tuendelee kupost picha ya feisal aliyokuwa anashangilia kwa mbwembwe hadi kuvua shati au tuskizie kwanza mpaka fainali imalizike?
 
Semq nabi alikiwa mjanja, akaona mmmh kwa kikosi hiki cha simba na huyu sakho anavyofanya vitu ambavyo vinsababisha mpira wa live uonekane umeeditiwa akaona bora ajieungue halafu zigo la mavi limwangukie kaze

Naye kaze akashtukia mchongo utaenda kumuaribia ikabidi amtafute pablo kisirisiri akasema naomba unipe mbinu ili na mimi nimfundishe makambo walau awe na robo ya uwezo wa kile anachokifanya sakho

Pablo akasema ndugu yangu mimi nimehudumu pale madrid tena enzi ya ronaldo lakini sikuwahi kuona ufundi wa mchezaji kama wa huyu dogo. Huyu dogo hajawa mchezaji kwasababu tembele nyumbani halichemki kama mayele, huyu dogo kawa mchezaji kwasababu mpira upo damuni

Hayo yalikuwa ni maneno machungu na yakumkatisha tamaa kaze, kwa hiyo ku loose alianzia hapa
Wewe bana unakeraaaaaa
 
Back
Top Bottom