FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

FT: Simba 2 Namungo 0. Simba yatinga fainali ya Mapinduzi Cup 2022

[emoji196][emoji196] msijifanye hamulioni biriani biriani biriani birian
biriani biriani biriani biriani biriani biriani biriani biriani
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
images (28).jpg
 
[emoji196][emoji196] msijifanye hamulioni biriani biriani biriani birian
biriani biriani biriani biriani biriani biriani biriani biriani
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 2076284
Biriani tamu
 
We mzee na mpira wapi na wapi
Ah tena basi ungejua mwenzio mpira ndio burudani yangu namba mbili hapa duniani...ofcoz number one ni obvious🤣🤣🤣🤣🤣

Yaani ukitaka kujua formation strategy tactics wala usiende mbali utapata lexicon zote za mpira hapa kuanzia gegen pressing ya man utd mpaka total football ya timu ya uholanzi ya mwaka 1974 and 1978.

Toka the wm formation ya kocha wa arsenal mwaka 1939 mpaka 4-6-0 ya pep ambayo ilimfanya kibabu fergson ateteme kwenye bench. Need i say more?

unamjua wewe arrigo sachi...kocha wa the great milan side of 1989? Kocha ambaye hakuwai cheza mpira kwa kiwango cha juu yet alitengeneza one of the best club football barani ulaya..." U dont have to have been a horse to become a jokey" msemo wake maarufu.
 
Mwanzo aliambiwa ajifunze kwa kibu, tukaenda weee wakamwambia uki mix na maufundi ya kagere utabamba

Saizi tena sakho kawa gumzo

Mayele hapa ndio anapopagawa, na anazidi kuchanganyikiwa hajui ajifunze kwa nani
 
Back
Top Bottom