FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Wachezaji husajiliwa na kuachwa kwa maandishi
Nimemsikia msemaji wenu alivyo sema,wale waliotajwa ndio wachezaji wa Simba.

Maana yake Manula kaachwa au ndio mnamkomoa?Maana Azam washapeleka barua ya kumtaka kwa mkopo.
 
Msigwa na yeye leo siku ya michezo analeta siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…