FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Kwa nyomi hii ya mashabiki, APR keshafungwa kwani ni timu ambayo haina uzoefu wa kucheza mbele ya watu wengi. Sasa simba isubiri 8/8 kupewa kichapo cha saizi yake.
 
SIMBA DAY 2024 :#UBAYAUBWELA

Ramadhani Mbwaduke data master anatuletea takwimu muhimu kuhusu Simba SC .....
 
Ila Makolo yameujaza uwanja bwana! Sijui kwa vile kiingilio ni buku?
 
Msitegemee soka safi kwa kocha wa kiarabu, nadhani mnawajua vizuri mipira yao ya papatu na kujiangusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…