OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hicho sio kingereza mkuu. Ni lugha inafanana na kingerezaKuna kingereza hapa anazungumza mtangazaji wa azam tv, ni aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho sio kingereza mkuu. Ni lugha inafanana na kingerezaKuna kingereza hapa anazungumza mtangazaji wa azam tv, ni aibu
TV ni circuit, sio housingUnatumia Tv ya mbao wewe sio bure
Hahahah!! Achilia mbali kingereza hata maswali ni ya hovyo kabisa,yaani kocha unamuuliza anajisikiaje kuwa sehemu ya tukio,badala umuulize ameandaaje kikosi chake kuelekea msimu mpyaHicho sio kingereza mkuu. Ni lugha inafanana na kingereza
Nimeona vibe lake yeye si mnufaika wa moja kwa moja.Itakua hufaidiki vilivyo na utawala wake... umeona vaibu la Msigwa?
Pole.
Tuliza mshono subiri pila papatu patuTV ni circuit, sio housing
Atachangia mwenyeweLukas ashafungua uzi mama samia kapiga simu uwanjani😂
Hawa wapange hivi hivi tarehe 8Kwamba hicho kikosi ndicho cha kumkaba Prince Dube, Baleke, Pacome, Mzinze, Ki?? 😀 kwamba Awesu atampita Bacca, kouassi Yao?? Sijui nachekq nini😂😂😂
hakuna haja ya kucheka huku roho inauma, usiudanganye mdomo na koo lakoKwamba hicho kikosi ndicho cha kumkaba Prince Dube, Baleke, Pacome, Mzinze, Ki?? 😀 kwamba Awesu atampita Bacca, kouassi Yao?? Sijui nachekq nini😂😂😂
Wewe ni ndugu na Lucas Mwashambwa ?Kwamba hicho kikosi ndicho cha kumkaba Prince Dube, Baleke, Pacome, Mzinze, Ki?? 😀 kwamba Awesu atampita Bacca, kouassi Yao?? Sijui nachekq nini😂😂😂
Bado dk 5Mechi imeanza, tujuzeni please.
bado haijaanza tuko uwanjaniMechi hii haitambuliwi haionyweshi
Hivi putin ni sehemu ya kikosi?Mechi imeanza, tujuzeni please.
Aise, laiti ungejua 😀 Haya, siongei sanahakuna haja ya kucheka huku roho inauma, usiudanganye mdomo na koo lako