Mjiandae kumpa tuhuma za kuuza matchKwa Tshabalala uchochoro
Kolo anachezea mpira uani kwakeNani kazidiwa?
Naunga mkono hoja 🤣😁WanaSimba wenzangu msiogope hii ni project mpya, tunaunda timu[emoji16]
Mbona hata ligi haijaanzaNgoma apewe mafao yake ya kustaafu akamalizie mpira wake DRC
Naunga mkono hojaAwesu hii ni Mali..
Kama ni kuunda timu Sawa.WanaSimba wenzangu msiogope hii ni project mpya, tunaunda timu[emoji16]
Tarehe nane sio mbaliBado tupo kwenye preseason..kocha anaendelea kuingiza falsafa zake...so hii mechi hatuangalii matokeo bali mfumo mzima wa uchezaji wa timu