Oohoooooo.....Bado tupo kwenye preseason..kocha anaendelea kuingiza falsafa zake...so hii mechi hatuangalii matokeo bali mfumo mzima wa uchezaji wa timu
Mmeanza!!! Tena mmeanza mapema mnoooo 😹Tulia mambo bado..
Ndo kwanza Timu yote ngeni Wachezaji wanasomana kwanza
Mabadiliko Huchukua Muda
Tena sana kakaBall posession 70%-30%
Simba ina balaa
Up sahihiNadhani NGOMA na MZAMIRU wamekosa ubunifu...
Lakini forward inaonekana iko fast..
😁🤣Mbona hizi camera za Azam sizilewi ndiyo camera za 500m kweli?
Sio kumi?Kwa Simba hii, Yanga inaenda kuibuka na ushindi wa goli zisizopungua 3 tarehe 8.
Simba imeelemewa sana?Kwa Simba hii, Yanga inaenda kuibuka na ushindi wa goli zisizopungua 3 tarehe 8.
Kabiisa mkuu falsafa za kocha ndio zinaingizwa kwenye kikosi wachezaji wawe na chemistryKama ni kuunda timu Sawa.
Match fitnessHuyu kipa vipi kaguswa na nani