ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mgonjwa kajitahidi kumaliza kikombe cha ujiMechi inaendeleaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgonjwa kajitahidi kumaliza kikombe cha ujiMechi inaendeleaje??
Kashaona kaliwa pesa zake kwa average playersMbona kama Mo anamaindi kule jukwani
😁Ukawaida wangu upo wapi mkuu , kama nimekula na nimeshiba ?
Unaweza kupata namba kwa timu hii ya Simba bosi.
Mgonjwa kajitahidi kumaliza kikombe cha ujiMechi inaendeleaje??
Upo sahihiKapoteza Pesa yake bure kwa hawa wachezaji. Hata wewe ungemaind kwa huu utumbo unaochezwa humu.
Mwaka huu, try again ajiandae kutukanwa, kupigwa mawe na kukuta mavi mlangoni mwake.
Mgonjwa kajitahidi kumaliza kikombe cha ujiMechi inaendeleaje??
Kwa sababu sina connection tu mkuu. Karibu Manchester ya kikwajuni Songwe.Kama una huo uwezo kimpira, unafikiri ni kwanini mpaka sasa unacheza Kikwajuni.?
NakaziaBado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri
Define maana ya average player wewe mtoto wa ZakayoKashaona kaliwa pesa zake kwa average players
Hahahaha mhasibuBado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri
Washaanza lawama🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha mhasibu
Kuwa na uvumilvu mkuu, ni Penaaaaaat.Bado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri