Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Ninii hii kinaoneshwa hapa... Yaani irregular shape football huelewi ni mfumo gani, pattern of playing ni zipi watu wanagonganga pasi za hovyo huoni flow yeyote ile yaani hapa hakuna kitu.. Mangungu ajiandae kutukanwa mapema sana kuliko ilivyotarajiwa