FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Ninii hii kinaoneshwa hapa... Yaani irregular shape football huelewi ni mfumo gani, pattern of playing ni zipi watu wanagonganga pasi za hovyo huoni flow yeyote ile yaani hapa hakuna kitu.. Mangungu ajiandae kutukanwa mapema sana kuliko ilivyotarajiwa
 
Uwongooooo ukooo
 
Hawa watoto wanawazidi Simba football objectives pasi wanapiga na zinafikika. Upande wa shot on target wanaongoza
 
Utaelewa vp kuhusu mfumo wakati huna hata leseni F ya CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…