Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Kumbe we Kichwa MajiYanga ni fire
Fukara unamshauri tajiri juu ya swala la ulinzi?Mudi anatakiwa aondoke uwanjani kabla ya filimbi ya mwisho kulia. Ten nashauri atolewe na escort kabisa atanishukuru baadaye
Yanga ikufire?Yanga ni fire
Leta video goli la 5 likiingia na Mimi niweke yanguVideo ya Nini Mkuu
Hiyo ilikuwa 2012
😁😁😁 sio swali la msingi hiloDahh! Chemalone kwanini anaanza kujichubua🥹
Risiti ya pili hiiBoka na ule uzee atamkabaje Balua na Mutale?
We umemuona?🤔😁😁😁 sio swali la msingi hilo