Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
😂😂😂Hii haina comebackMsijisahaulishe
Kumbuka APR aliwatungua YANGA goli 3 pale visiwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Hii haina comebackMsijisahaulishe
Kumbuka APR aliwatungua YANGA goli 3 pale visiwani
Tukutane tar 8Hatuna siku yetu ila kuna kilele cha wananchi
Kila game ina approach yake.Simba kwa mchezo wao wanaacha space kubwa nyuma, bahati mbaya tu APR hawana movement nzuri. Ila kwa timu bora wakicheza hivi tutaona mengi.
Tutawashangaza.Hoja iko palepale kwambankwa Simba hii tar 8 ijiandae kulambishwa sifongo
UBAYA UMERUDI😄Ndoto
Huyu Yanga msipomuendea kwa heshima hiyo tarehe 8 wataprint jezi nyingine.Niwakumbushe Tu Huyu anayepigwa Leo kama Ngoma Alikuwa Mbabe wa Yanga mwaka huu Alimcharza Yanga Magoli 3 matakatifu
MuacheKibu anashindwa kutoa V pass?
Mechi hiyo wala haina maana kwa simbaTukutane tar 8
Nenda kajojoe hukoHoja iko palepale kwambankwa Simba hii tar 8 ijiandae kulambishwa sifongo
Ubaya ubwelaaaUBAYA UMERUDI😄
Tumesajili wachezaji karibu 11 wewe bado unauliza msimu Uliopita Uko sawa kweli🤣🤣DR Mambo Jambo naomba unionyeshe Simba kwa msimu wa mwaka jana na mwaka huu zaidi ya kushinda kombe la wananchi naomba umiambie wameshinda nini tenaa
Simba si ilichukua ngao kwa kuwafunga pale mkwakwani au umesahau?DR Mambo Jambo naomba unionyeshe Simba kwa msimu wa mwaka jana na mwaka huu zaidi ya kushinda kombe la wananchi naomba umiambie wameshinda nini tenaa
Naunga mkono hoja hapa nimechukua risiti kibao za makolo watalia sanaHuyu Yanga msipomuendea kwa heshima hiyo tarehe 8 wataprint jezi nyingine.
Ulikimbia uzi nashangaa umekuja mkiwa mnaongoza mojaMuache
Washabiki wa yanga ni oya oya mkuu .Tumesajili wachezaji karibu 11 wewe bado unauliza msimu Uliopita Uko sawa kweli🤣🤣