FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Vincenzo Jr umeomba Video nimekupa karibu sita ila naona Kimya mkuu au nikuongeze zingine tulizokuwa tunawachapa 2-0 na 3-0
Kaka tarehe nane usikimbie jukwaa kaka
20240615_154508.jpg
 
Huyu jean ahoua, bado hajaniridhisha, huenda leo hayuko sawa.. simba kwa mpira inaocheza inahitaji namba 10 ambae anashuka chini kusapoti timu kuchez(kuongeza kiungo), kuondoka na mpira kwenda juu kwa speed,skills na pasi za maana..

Mukwala ana kitu
Mutale ana kitu
Debora ana kitu, natamani kuona kolabo lake na ngoma, hata huyu okjepha ana kitu ila hatofautiani saana na debora.. debora kaonesha mchezo mzuri zaidi yake, na pia hajamzidi fabrice ngoma

Edwin balua akituliza akili ule upande wa kulia anaweza kujihakikishia namba, mshindani wake kule ni kibu tu, kibu hanaga hatari sana akicheza kwingine tofauti na winga ya kulia.

Nouma ana kitu, japo bado tshabalala ni hatari zaidi.
 
Back
Top Bottom