mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kule Kwa vibabu average Yao ngapi?Niwakumbushe kuwa average age ya kikosi chetu ni miaka 22
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule Kwa vibabu average Yao ngapi?Niwakumbushe kuwa average age ya kikosi chetu ni miaka 22
35Kule Kwa vibabu average Yao ngapi?
Swala la umeme kwenye mechi ya mtani wa jadi, ni sawa la kusubiria kupatwa kwa jua.Huyu ana umeme tarehe 8 sevu hii komenti
Nini kifanyikeAPR Wanachofanya hapa Kwa Kweli ni Kutibua tibua mipango tu Ya Fadlu...
Wanawachosha Sana Utopolo
Vincenzo Jr usijifanye hii hujaiona?HALAFU NISIKIE MTU ANASEMA ETI APR NI DHAIFU KUMBAFUU KABISA..
YANGA 1- APR 5
FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024
Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.www.jamiiforums.com
SIMBA 5- YANGA 0
SIMBA 6- YANGA 0
View attachment 3060757View attachment 3060758View attachment 3060759
Niletee majina ya wachezaji bora kutoka ligi ya hapo jirani zetu UgandaAsanteni mashangazi kwa kutubeba mgongoni
Kasahau kuwa hawa APR waliwabandua goli tatu kule kwa mama kizimkazi?Pacome kamuangalia Ahoua akachekaa, yaani anashangaa hivi Ivory Coast siku hizi wanatoa ma MVP wasio na uwezo kabisa. Faulo 5 zote anagongesha mabeki.
Among me96 people are here
Nasikia Debora ni mworombo wa mashati🙄Nini kifanyike
Yeye anakumbuka tu jinsi alivyowapiga msumari wa tano.Kasahau kuwa hawa APR waliwabandua goli tatu kule kwa mama kizimkazi?
Debora tena kwenye mpira wa kiume?Debora anakataa namna gali pale
RageHuyu Omari Omari ni mtoto wa nani hapo Simba Sc.?
Mchezaji mzuri ila ana presha ya game hajazoea kucheza ktk kiwanja chenye watu wengiHuyu Omari Omari ni mtoto wa nani hapo Simba Sc.?
Atetemeka tuHuyu Omari Omari ni mtoto wa nani hapo Simba Sc.?
mmeshaingia baridiRisiti kutoka kwa ndugu yangu hii
Nani Debora?Hii michezaji mingine huwa wanatoa wapi. Unapasiaje adui