SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Sawa nammesajili wapya na bado wanapangana kama nyumbu , halafu wanafunga goli mojaTumesajili wachezaji karibu 11 wewe bado unauliza msimu Uliopita Uko sawa kweli🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa nammesajili wapya na bado wanapangana kama nyumbu , halafu wanafunga goli mojaTumesajili wachezaji karibu 11 wewe bado unauliza msimu Uliopita Uko sawa kweli🤣🤣
Kweli ila hawajawahi kumweka bench.Huyu KIJIRI hamna kitu...
Ila kwa MUHAMED HUSSENI kuna kazi
Si niliweka hapa au hakuonaHamna vya bure
Hela ya kulipia Azam hana😂Si niliweka hapa au hakuona
mmeshaingia baridi
Hii hebu waandikie kwa herufi kubwa tena....Msiogope, tutawafunga na hatutaweka mabango popote!!
😅😅😅😅Simba Kama Chelsea vile Rasta Rasta tunao wa kutosha🔥🔥🔥
Duchu naye anakiwasha...Okajepha🔥🔥nae ni mtu kazi
Usifananishe Chelsea na vitu vya ajabuSimba Kama Chelsea vile Rasta Rasta tunao wa kutosha🔥🔥🔥