FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Sawa nammesajili wapya na bado wanapangana kama nyumbu , halafu wanafunga goli moja
Uko serious Kweli Unafatilia Mpira Hivi ulikuwa uwanjani au ulikuwa wapi..

HAya magoli huoni kama ni Mawili na Yanga walifungwa magoli matatuna APR

Au umesahau hii
20240803_214531.jpg
 
simba kuweni serious
Simba imekaa kama imebaki miezi mitatu hivi ya kujiandaa kabla ya msimu. Trust me kama simba ndo hii inaanza ligi habari ya ubingwa sahau. Timu kuanzia Namungo, KMC hadi Pamba zitajipigia. Yanga ndo usiseme itajipigia hadi MO ajiteke tena
simba almost ina wachezaji wapya, kuna muda wa kutengeneza combination hilo nalo litwchukua muda, and sidhan kma ubingwa ni target yao kwa sasa, mashabiki wanataka instant impact but it takes time
 
Kama SIMBA itapata mchezeshaji pale mbele ambaye ametulia hana Papara watatisha...team ina energy..
Natamani KABARAKA anze 1st eleven..
 
Uko serious Kweli Unafatilia Mpira Hivi ulikuwa uwanjani au ulikuwa wapi..

HAya magoli huoni kama ni Mawili na Yanga walifungwa magoli matatuna APR

Au umesahau hii
View attachment 3060785
Nadhani kipimo kizuri kwa Simba itakuwa tarehe 8/8
Ni mapema mno kuipima simba kwenye siku yao. Ingawa kuna wachezaji wanapambana sana.

Kama kocha anataka kufanikiwa asifuate majina kwenye kikosi chake.
Terehe 8 tu hapo tunatibia kila ugonjwa pale ukoloni. Naona wanajisf wana mbio
 
Uko serious Kweli Unafatilia Mpira Hivi ulikuwa uwanjani au ulikuwa wapi..

HAya magoli huoni kama ni Mawili na Yanga walifungwa magoli matatuna APR

Au umesahau hii
View attachment 3060785

Hiyo ilikuwa Yanga B mzee wangu. Katika miaka miwili iliyopita Yanga A haijashiriki Mapinduzi. Tena siku ya mchezo huo Simba alikuwa pia keshatolewa
 
Nadhani kipimo kizuri kwa Simba itakuwa tarehe 8/8
Ni mapema mno kuipima simba kwenye siku yao. Ingawa kuna wachezaji wanapambana sana.

Kama kocha anataka kufanikiwa asifuate majina kwenye kikosi chake.
Ila haya mambo bwana unaweza kuta simba ikashinda lkn huko mbele ikawa na majanga matupu

Ni mtazamo tuu
 
Nadhani kipimo kizuri kwa Simba itakuwa tarehe 8/8
Ni mapema mno kuipima simba kwenye siku yao. Ingawa kuna wachezaji wanapambana sana.

Kama kocha anataka kufanikiwa asifuate majina kwenye kikosi chake.
Simba bado inatengeneza timu.

Leo tulikuwa tunaangalia tu progress waliyoifikia

Ulichokiona leo kinakupa tu taswira kwa uchache ya jinsi timu itavyoenda kuwa huko mbeleni.

Angalia kipindi cha kwanza kilivyochezwa kisha tazama kipindi cha pili, utagundua ni Simba mbili tofauti.

Kocha huyu ana plan A hadi Z na uzuri kilichonifurahisha wachezaji wameonesha kiu ya upambanaji. Hiyo ina maana kubwa sana.
 
Back
Top Bottom