FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Simba imekaa kama imebaki miezi mitatu hivi ya kujiandaa kabla ya msimu. Trust me kama simba ndo hii inaanza ligi habari ya ubingwa sahau. Timu kuanzia Namungo, KMC hadi Pamba zitajipigia. Yanga ndo usiseme itajipigia hadi MO ajiteke tena
 
Kocha fadlu leo kachezesha vikosi vitatu kwa ubora uleule tofauti na gamondi anayeng'ang'ania kikosi kimoja
APR uchezaji wake ni kama timu ndogo , hata ukiangalia mentality ya wachezajinwake wakiwa na mpira unaona kabisa , hii Mechi ingekuwa ni against Azam wachezaji wengi wangefichwa ,Hapo sijazungumzia Yanga ambayo siku hizi ina presha kubwa kwenye ukabaji
 
Timu ndogo iliyoifunga yanga goli 3
 
Simba imekaa kama imebaki miezi mitatu hivi ya kujiandaa kabla ya msimu. Trust me kama simba ndo hii inaanza ligi habari ya ubingwa sahau. Timu kuanzia Namungo, KMC hadi Pamba zitajipigia. Yanga ndo usiseme itajipigia hadi MO ajiteke tena

Kwani tiketi umenunua..?Au na Wewe unasubiri supu za Bure?
 
Kuna timu itacheza kesho kubwa kwelikweli iliwahi kumpiga mgonjwa goli 5 bila ya kujalii kwamba alikuwa mgonjwa. Nadhani tarehe 8 mgonjwa atakuwa keshapona
 
Back
Top Bottom