FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Tukumbushane tu kuwa kabla ligi haijaanza Simba hii hujimwambafai sana inapokutana na timu nyingine hadi pale inapotulizwa na Yanga
 

Attachments

  • IMG_2953.jpeg
    IMG_2953.jpeg
    406.2 KB · Views: 1
Simba bado inatengeneza timu.

Leo tulikuwa tunaangalia tu progress waliyoifikia

Ulichokiona leo kinakupa tu taswira kwa uchache ya jinsi timu itavyoenda kuwa huko mbeleni.

Angalia kipindi cha kwanza kilivyochezwa kisha tazama kipindi cha pili, utagundua ni Simba mbili tofauti.

Kocha huyu ana plan A hadi Z na uzuri kilichonifurahisha wachezaji wameonesha kiu ya upambanaji. Hiyo ina maana kubwa sana.
Hiyo ni jambo la kawaida kwenye siku ya kilele cha Simba day, ni Simba day ulioona timu ikicheza ovyo na ku disappoint mashabiki?
 
Back
Top Bottom