FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Hv Simba hamkuwa ht na mchezaji mwenye skills ya kuuchezea mpira wakati mnatambulisha wachezaji wenu?
 
Nouma, Fernandez, Okajepha, Mutale, Ahoua na Awesu ni maingizo mazuri katika kikosi cha Simba Sc na sina wasiwasi nao.

Fabrice Ngoma, Kapombe na Zimbwe, wajitathimini sana.
kapombe angestaafu kwa heshima kama alivyofanya nahodha wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…