The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Hilo sio la kuuliza FA ni mnyama since thenKhaaa! Tokea lini mwana FA akawa mnyama?🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sio la kuuliza FA ni mnyama since thenKhaaa! Tokea lini mwana FA akawa mnyama?🤔
Ahmed anajitahidi sanaa,Ubunifu wa Ahmed Ally msimu huu ni kazi kazi . Ubaya ubwela utakuwa ni mwendo wa kulenga mishale ya moto kwenye lango la wapinzani watakao kuwa wanakutana na Simba Sc .
Ndiyo wanasimba tunapenda..Ujinga mwingi sana
Watakuwa na madeni haoMashabiki wa Simba hapa nilipo hawana furaha kabisa
Yaani kwamba hata Mwana Fa kuwa Simba nalo ulikuwa ulijui ephen?Khaaa! Tokea lini mwana FA akawa mnyama?🤔
Msimu uliopita mbona ulijificha🤔Ndiyo wanasimba tunapenda..
Tuheshimu, Kuna mkoa Tanzania wenye kumbi nyingi za muziki Kama Dar.Watu wa dar na kucheza wapi na wapi 🤣
Wao kutimua vumbi tu kwenye singeli
Tunajiweka kwenye mfumo.Simba mmejitahidi kualika viongozi wakubwa
Amekaa ki Yanga, Yanga ina watu wenye tabia njemaYaani kwamba hata Mwana Fa kuwa Simba nalo ulikuwa ulijui ephen?
Kama kina mama JAmekaa ki Yanga, Yanga ina watu wenye tabia njema
SwadaktaaaaaaaaKama kina mama J
Tulia upite juu ya khangaShughuli imepoa sana ....Simba hamna jipya....