The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Yeah for surePitch ya kwa Mkapa imetulia sana kongole kwa uongozi 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah for surePitch ya kwa Mkapa imetulia sana kongole kwa uongozi 🙌
Tukutane uwanjaniMajina ya kike sasa na rasta wapi na wapi😂
Hayo mambo yetu congo , Cameroon na Chad siyo mambo ya kuuliza.Nani kampa Chemalone mkorogo?🤔
Ila ana Pisi ya maana kabisa😂Huyu Duchu ana sura ya kitoto🤤
Sawa ila tarehe 8 utatoa uteleziMimi ni Yanga. Mashabiki wa Simba mmetisha sana ingawa timu yenu ni mteja wetu we kudumu.
Subiri uone Simba yako inachezea kichapo cha mbwa koko 8/8Kikosi hiki cha Simba kitabeba ndoo hakika. Sijawahi kukosea kwenye utabiri
Nimeumia roho🥲 wewe kila sehemu unanibaniaIla ana Pisi ya maana kabisa😂
😂😁Azam
🤣🤣🤣🤣Basi naacha..Nimeumia roho🥲 wewe kila sehemu unanibania
Naunga mkono hoja Hawa tutawapiga bila huruma Cc ephen_Subiri uone Simba yako inachezea kichapo cha mbwa koko 8/8