The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Utanikumbusha vizuri tarehe 8Unaikumbuka kauli ya Gamondi kuwa Simba ikija kistaarabu itafungwa mchache tu, ila ikijifanya mjuaji kutaka kulipa kisasi itapokea kipigo cha mbwa koko. kwa maneno yako haya utakuwa unawachongea kutengenezewa kipigo