SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Sasa siukweli anayebisha mwambie aje tumchambe mie mguu mmoja ndani mwingine njeeWewe ndio shabiki wa 5imba unaejua mpira kuliko wote msimu huu,una kitu cha ziada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa siukweli anayebisha mwambie aje tumchambe mie mguu mmoja ndani mwingine njeeWewe ndio shabiki wa 5imba unaejua mpira kuliko wote msimu huu,una kitu cha ziada.
Utanifanyaje kwani njoo uone utatoka ukicharu mie ni mdudu wa arachugaJiangalie sana
Picha TafadhaliUtanifanyaje kwani njoo uone utatoka ukicharu mie ni mdudu arachuga
TuacheDebo 😂 mara sanda
Sema watani bwana mnazingua sana
Tarehe 8 atajua hajui....Tarehe nane Mbali tunamtaka Kesho Yanga kwenye Yanga Day tupige naye Friend match
Sasa kama hawa APR waliweza kuitungua goli tatu ile team inayodhaniwa kuwa bora, kwanini tusifurahie hata hilo la kubahatisha.?TUmebahatisha
Tarehe 8 sio mbaliTuache
mshangilie debra tu ila tarehe 8 mutalia
Tarehe 8 jiandae....Timu inahitani reshuffle kubwa sana, kuanzia Mudi na wengine wengi wakae banchi timu ianze upya. Simba ubovu wake ni uleule wa misimu iliyopita haijabadilika