FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

FT: SIMBA DAY 2024: Simba SC 2-0 APR | Mkapa Stadium | 03/08/2024

Tutolee kelele, tengeneza timu yako kha! Wabongo taabu kwelikweli, unataka malaika ndio wacheze?
Tajiri usikasirike, utapata presha mpaka msimu uishe kwa simba hii. Hapa bora uhamie Pamba Jiji utakuwa salama
 
Kitu kizuri ni kwamba team inacheza kwa kasi na nguvu...bado tu chemistry
 
Aaah jamani raha zimezidi ebu fanyeni ku minimize kidogo
 
Back
Top Bottom