Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kelvin Kijili “KK” ni Dani Alves mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hawa hawana maana yeyote wapi tu ni timu naipenda ila nimechoka kuqibishwa walahiSAIV ni SANDA
Sio.panya buku tuMtoto mdogo , lala panya buku wewe.
Anaotea kivipi? Unajua ana magoli Mangapi ya free kick?Nayeye anaoteab
Simba kwa mchezo wao wanaacha space kubwa nyuma, bahati mbaya tu APR hawana movement nzuri. Ila kwa timu bora wakicheza hivi tutaona mengi.Hata kama kuna ubovu ila hatujafika huko, labda kwa Orlando hapo.
Naanza na risiti ya kwanzaAPR tunawavisha sanda zao leo...tukiwa tumemlipia kisasi mtani.
Tarehe 8 tunakuja kumvika sanda mtani
Za niniNgoja nianze kukusanya risiti
HALAFU NISIKIE MTU ANASEMA ETI APR NI DHAIFU KUMBAFUU KABISA..FT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika. Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni. Kaa nami katika uzi huu...www.jamiiforums.com
Tatizo wanajipa moyoSimba kwa mchezo wao wanaacha space kubwa nyuma, bahati mbaya tu APR hawana movement nzuri. Ila kwa timu bora wakicheza hivi tutaona mengi.
Ulijificha wewe! Mmepata viwili umekuja na makeleleHuyu kelvin kijili anakimbia utadhani mwizi, huyu na mutale wakicheza upande mmoja basi beki wa wapinzani wajiandae.