FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Ni muda sasa hawa watangazaji warudi shule wajifunze kuhusu communication skills. Yaani hiyo broken wanayoizungumza inanifanya mimi mtazamaji kuona aibu.
Kuna watu wanatumia app na wapo nje ya nchi na hawajui English ,halafu wao wana watangazaji wanaoongea broken
 
Wakuu hii namba ya jezi aliyopewa Habib Kyombo na 77 si kwa kanuni hairuhusiwi ni kuanzia 1-70.

Namungo walipigwa faini baada ya kumpa Kichuya jezi namba hiyo hiyo 77 na Shamte namba 88
 
Hawa wa Ethipia sio wa kuwachikulia poa, wasije kutuharibia sherehe zetu aiseeh.
 
Simba Sc wameanza vizuri sana, ngoja tuone itakuwaje kadri muda unavyozidi kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…