Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,889
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili jibu nimecheka aiseeKuna kitu cha kuchekesha hapo au ni umasikini unakusumbua?
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili jibu nimecheka aiseeKuna kitu cha kuchekesha hapo au ni umasikini unakusumbua?
Tumezindua ushangiliaji mpya wataiga halafu watasema wao wameanzishaSo what!? Yanga mnapenda kujilinganisha sana na simba. Simba imeanza matamasha haya miaka 14 iliyopita.
Umechagua fungu lililo jemaNikiwa na akili zangu timamu natangaza rasmi kuhamia Simba SC
Inonga. Leo kazingua analazimisha chenga zisizo na maanaOutarra anafaa kuwa kiongozi wa ulinzi. Shida ya Inonga ni papara. Leo ametoa waboko sana kwa sababu ya papara. Ukimuangalia Outarra ni Tiago Silva mtupu
Azam lazima arudi hii siyo mchezoJamani ambao hamkuona mwanzo wa onyesho Azam wamerudia. Simba ina hela wacha itupe raha
tuta elewana tuSiwezi kua mnafiki hapo kwa mzungu tumeuziwa rangi