Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Dada acha povu huyo mzungu wewe unajikojolea hapo yeye hata hakujui . madem wa upande ule mnashida 😂😂😂
Aah sawa ww ni demu wa kule ila demu unaevaa suruali nasikia huwa mna wivu sana maana ndo tabia zenu😂😂😂😂 Dada acha povu huyo mzungu wewe unajikojolea hapo yeye hata hakujui . madem wa upande ule mnashida 😂😂😂
Mkuu mbona wivu nyingi au unatamani kukojolewamama j aliliwa lodge , ila huyo kakojoa yuko kwake akimtizama mserbia kwenye kideo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikute alishamtamani mzungu na yeye. Kweli mwanaume kama binti.Mkuu mbona wivu nyingi au unatamani kukojolewa
Likubwaaaa la kutishaaaa.Simba ni lidudeeeeeeee fulani hiviiiiii
Alichokifanya Chama zile chenga kwenye sehemu finyu halafu watu wengi sikuelewa ,chama ni shidaKombination ya middle ya
Akpan (6),
Okwa (8)
na
Chama (10)
inaweza ikawa tamu sana
Leo nimeangalia mwanzo mwisho,tamasha halikuboa zilikuwa na surprisesJamani ambao hamkuona mwanzo wa onyesho Azam wamerudia. Simba ina hela wacha itupe raha
Umechagua fungu lililo jemaNikiwa na akili zangu timamu natangaza rasmi kuhamia Simba SC
🤣🤣🤣🤣🤣😍😍😍Nikiwa na akili zangu timamu natangaza rasmi kuhamia Simba SC
Leo Simba wamejua kutupa rahaa banaWalishinda 2 bila. Magoli yenye hadhi ya UEFA Champions league [emoji23][emoji23]
Kanoute asipoacha utoto atapotezwa.Kombination ya middle ya
Akpan (6),
Okwa (8)
na
Chama (10)
inaweza ikawa tamu sana
Huyo ana bahati alichelewa pre-season, kama kocha angemuona mapema angeondoka na akina Kagere.Jamani huyo kanute hapana
Aisee uzi wa update nimeukosa kwasababu ya simu kuisha chaji
Mwaka ujao wa bajeti tunakata Serikali ituwekee charge kwenye majukwaa ya mashabiki
Tazama vyuma hivyo