HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hata huyu Mzungu naona ni porcher mzuri sana, muhimu apewe wapiga pasi wa mwisho wazuriHuyu Ouattara alikuwa chaguo la kocha, amepatia; na mzungu nae ni chaguo la kocha, apewe muda majibu yatapatikana..
Naamini kocha anawajua watu wa kazi, hawezi kumbeba mchezaji bila sababu aje aharibiwe kazi..