FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

FT: Simba Day: Simba 2 - 0 St George Uwanja wa Mkapa/ 08/ 08/ 2022

Mama yangu ananipigia simu anasema vipi simba huko wamefunga ngapi? Maana huko mkoa alioko kuanzia watoto ni furaha tuu na kwenye daladala anasema amepanda cha kushangaza daladala nzima ni simba alikuwepo utopolo mmoja ametambulika kutokana mabishano yaliyokuwepo yeye anasonya tuu njia nzima hahahahhahahah.
 
Back
Top Bottom