Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Kuna watu wanatumia app na wapo nje ya nchi na hawajui English ,halafu wao wana watangazaji wanaoongea brokenNi muda sasa hawa watangazaji warudi shule wajifunze kuhusu communication skills. Yaani hiyo broken wanayoizungumza inanifanya mimi mtazamaji kuona aibu.