Kuna pasi anazitoa ,ametulia na hana paparaNa hapo bado hajazoeana vizuri na kikosi, nafasi ya Onyango kikosi cha kwanza ipo matatani.
Apewe nafasi zaidi.
Mimi nasubiri kumuona Akpan pale kati.Hatimaye Biriani limerudiii
Kwasababu hakijafunga dk 1 ya mchezo?Hamna timu hapo.
Ndiyo, ni miongoni mwaMimi nasubiri kumuona Akpan pale kati.
Hiki kikosi naona kocha kaangalia mechi ya tar 13 zaidi
Tayari 1Vp hukoo????