OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #441
Hii sio mechi ya mashindano, huwezi kujua anataka aone kitu gani kutoka kwa KyomboTIMU INAFANYA VIZURI LAKINI SIONI KAMA KOCHA YUKO VIZURI NIKIMAANISHA KUSOMA MBINU ZA MCHEEZO NA KUFANYA SUB INAPOBIDI, SASA MPAKA SASA KYOMBO ANAFANYA NINI NDANI HUMO.
NimemkataaJamani huyo kanute hapana
Namuona hapa kavimba pua kwa kununa[emoji28][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Yan kama namuona huyo manyara huko alivyokua mwekundu
Isije ikamtokea kama Makambo kwenye derby fulaniMzungu bado hajagusa mpira
Aisee ni kama Mugalu hivi jinsi anavyojiwekaIsije ikamtokea kama Makambo kwenye derby fulani
acha inyeshe tuone panapovujaKuna uzembe flan hapo kwenye beki ya Simba
Huyo kyombo ni mashine kama kibu wakae tui kwa kutuliaHii sio mechi ya mashindano, huwezi kujua anataka aone kitu gani kutoka kwa Kyombo
Aligusa kwa kuokoa kwa kichwa ilikuwa kona.Mzungu bado hajagusa dk ya 82 kaingia dk 72 ,tunaweka rekodi sawa