denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Habari ya Manzoki kuongeza mkataba Vipers mpaka 2025 umeipata wapi?Aisee mashabiki wa simba mna moyo, halafu mnawaamini viongozi wenu! Mbona Manzoki ameshaongeza mkataba na timu yake mpaka 2025!
Halafu mwakani mtafute mtu mwingine wa kutambulisha bhana! Huyu Ahmed Ali hakuna kitu. Bora hata mngenipa mimi hii tenda aisee!
Unamuona nyani kama utopolo au?