Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,303
- 7,629
Wazima ni mabingwa wa vipers walioshinda sekunde ya 30.Hii timu mliyoleta mbovu Sana.
Watu wapo CAF unasema wabovu, pungumoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazima ni mabingwa wa vipers walioshinda sekunde ya 30.Hii timu mliyoleta mbovu Sana.
Huko nje kuna kikosi kingine ambacho kinaweza kucheza mechi yoyote taofauti na hawa walioanza, incase umesahau.Mkuu hii ndiyo timu yenu, unasubiri timu nyingine ipi
Vp hukoo????
Team zote za kimataifa ambazo huwa zinacheza na Simba Sc huwa ni mbovu, hata ile ya kwanza kwa ranks za CAF huwa inaonekana famba tu mbele ya Simba Sc.Hii timu mliyoleta mbovu Sana.
Amefanya bonge la saveHuyu outtara nasikia ata mazoezi hajafanya katoka juzi kwenye ndoa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Mashabiki makini wa Simba SC Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums.
Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea kumininika Uwanja wa Mkapa.
Simba tutatambulisha kikosi hatari na benchi la ufundi katika msimu wa 2022/23. Wasanii watatoa burudani wakiongozwa na Zuchu, Whozu, Tunda Man na Meja Kunta.
Mwisho kabisa kandanda saaafi dhidi ya St George ya Ethiopia mishale ya saa 12 Jioni.
Updates
Ndugu msomaji Tiketi zooote zimeuzwa
Updates
Mchezo wa utangulizi Simba Queens Vs Fountain Gate unaendelea.
FT: Simba Queens 2-0 Fountain Gate
Updates
Baada ya burudani nzito na utambulisho wa kikosi kazi na benchi la ufundi,ndugu msomaji hivi punde tutashuhudia soka kali
View attachment 2318177
Usiondoke JF
Hawa siyo fountain gate mliowapiga goli tisa ,bila shaka vipers waliwapa majibuTUKIACHA USHABIKI SIMBA ANACHEZA VIZURI LAKINI TIMU ANAYOCHEZA NAYO NI MBOVU YANI NI KAMA MAJIMAJI ILIYOCHANGAMKA
VIONGOZI WA SIMBA WANAFOSI KUWAPA MASHABIKI FURAHA
Mwamba katoka fungate moja kwa moja kaingia kwenye kikosi.Huyu outtara nasikia ata mazoezi hajafanya katoka juzi kwenye ndoa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Anaonekana ,Bocco akae tu benchiHuyu Kyombo mtakuja kubadili kauli zenu, ni bonge la player.
Wapo vizuri sana hawa jamaa, hawa hata team yao ya taifa kwa siku za hivi karibuni imekuwa ni ya moto sana.Hawa wa Ethiopia tusiwachukulie poa...