FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Imefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kuingia hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuifunga Green Buffaloes ya Zambia.

Simba Queens ambayo ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya ASFAR, imeshinda 2-0 dhidi ya Green Buffaloes, wafungaji wakiwa ni Asha Djafari na Opah Clement.

Ikiwa na alama sita katika michezo mitatu, timu hiyo imeungana na ASFAR Club kusonga mbele kutoka katika kundi hilo.

===========

Simba 2-0 Green Buffaloes
Simba 1-0 Determine Girls FC
 
Back
Top Bottom