makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Waleteee, chuma ya pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeishaa hiyo!!Oppah Clement anaipa Simba Queens goli la pili hapa
Huyu binti hatari.. Ni kiraka, anazima beki ya pembeni, anazima kati, midfielder na winga anazima fresh.. Game ilianza yeye namba 6Kwangu mimi mchezaji bora wa Simba aliyepafom vizuri mpaka sasa ni beki namba mbili Fetty Densa ambapo katika goli lililofungwa yeye ndio alitoa assist
Kwakifupi ni kiraka kwelikweli kama John OsheaHuyu binti hatari.. Ni kiraka, anazima beki ya pembeni, anazima kati, midfielder na winga anazima fresh.. Game ilianza yeye namba 6
Mtake radhi, oshea!!!? 😂 Anapiga boli zaidi ya oshea, shida ni mwanamke na kazaliwa bongo.Kwakifupi ni kiraka kwelikweli kama John Oshea
Mihogo boysHii Simba Queens ni bora[emoji91][emoji91][emoji91] kuliko utopolo Boyz [emoji196][emoji196][emoji196]
Fundi wa mpira huyoHii midfielder mrundi bukuru, ni anajua boli naenjoy mnoo kumtizama.
Nimepokea MkuuAgiza mkubwa wao
Bahati mbaya ameumia sidhani kama ataweza kuendeleaDaniella Ngoi nae ni beki kazi sana pale nyuma