3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Mihogo FC wanafyonza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Fatuma Isa aka Fetty Densa.Huyo binti mwenye ushungi anapiga mpira siyo poa Hongera yake anajua sana [emoji91][emoji91][emoji91]
Hatari sana huyu bintiHuyu binti hatari.. Ni kiraka, anazima beki ya pembeni, anazima kati, midfielder na winga anazima fresh.. Game ilianza yeye namba 6
Makambo anatakiwa achukue notes kwa OppahOpah ni bonge la striker
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ngoja wale vinyesi fc
Wote na MayeleMakambo anatakiwa achukue notes kwa Oppah
Wanaupiga mwingi hao...kama tunataka kuingia fainali basi tujiandae kupambana sanaTunaenda kukutana na Mamelodi ambao ni mabingwa watetezi
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Hivi hii mechi ya leo ni makundi au robo fainali? Mbona sielewi