FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

huku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana

mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana

makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.

umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
Unabeza makundi wakati we mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 98BC

Kama makundi ni kichaka why mkasirike na performance inayoonehwa na kikosi chenu kwenye michuano ya kutafuta makundi (ya failures)
 
Ahmedy Arajiga a.k.a Frolentina a.k.a Ramadhani Kayokwa

A.k.a kibao
mkuu unakuwa msahaulifu sana juzi umebebwa kadi ya ajabu, bado walio stahili kupigwa kadi hawakupigwa

unasahau mwaka majuzi ulipewa viporo 12 (haijawahi tokea kwenye historia ya ligi yoyote duniani )

leo unasema nini, mwaka jana yanga kadhurumiwa mkashangilia sana

ivi goli kama la azizi ki utamlaumu refa ama lile la fay mkuu
 
huku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana

mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana

makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.

umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
Akifika nusu nina hakika utaongezea
umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ama nusu ni jambo la maana sana
Uchawi ni kipaji sio uzee
 
Unabeza makundi wakati we mara ya mwisho kushiriki ilikuwa 98BC

Kama makundi ni kichaka why mkairike na petfomance inayoonehwa na kikosi chenu kwenye michuano ya kutafuta makundi (ya failures)
kutofika makundi mimi haifanyi nione makundi ni mafaniko mkuu

nimekupa rejea, waarabu ama wasazui makundi sio ya kufanyia sherehe sema umaskini wa mafanikio unatufanya kushangilia makundi ama robo
 
Akifika nusu nina hakika utaongezea

Uchawi ni kipaji sio uzee
nusu ni nini hata kufika fainal mara 10 na kupigwa zote unabaki bwege tu

chukua kikombe ndo ujitape, unajitapa makundi ama robo ndo nini
 
mkuu unakuwa msahaulifu sana juzi umebebwa kadi ya ajabu, bado walio stahili kupigwa kadi hawakupigwa

unasahau mwaka majuzi ulipewa viporo 12 (haijawahi tokea kwenye historia ya ligi yoyote duniani )

leo unasema nini, mwaka jana yanga kadhurumiwa mkashangilia sana

ivi goli kama la azizi ki utamlaumu refa ama lile la fay mkuu
Kadi ya ajabu ipi? ya clinic au?

Viporo 12 vina influence gani na kubebwa?

Wewe kama ulikuwa unashinda mechi zako zote ulizocheza, viporo vya mpinzani wako vitakuwa na madhara gani kwako?

Halafu leo hii mlivyotoa sare mmeanza kutoa sababu zile zile kuwa hamkupata wasaa wa kupumzika kujiandaa na mechi, ilihali mlipumzika zaidi ya siku 6 kabla ya mechi yenu

Sasa kama mliona hiyo ilikuwa ni suluhu ya nyinyi kuweza kupata ushindi kwenye mechi ya kimataifa, ilikuwaje kipindi kile mkaanza kulalamika kuwa Simba ana viporo wakati mkijua kuwa yuko katika maandalizi ya kumfanya ashinde mechi za kimataifa?
 
hujui influence ya viporo kuelekea ubingwa

unajua upangaji wa matokeo ukoje

mkuu naomba nilale.

ila tangu ugunduzi wa soka hakuna. timu imewahi pewa viporo 12

cha kuumiza zaidi hata kombe haikuchukua ikaishia robo
 
kutofika makundi mimi haifanyi nione makundi ni mafaniko mkuu

nimekupa rejea, waarabu ama wasazui makundi sio ya kufanyia sherehe sema umaskini wa mafanikio unatufanya kushangilia makundi ama robo
Kama kweli kwa timu yako kuona ikishiriki makundi si mafanikio basi huna vision ya mpira

Viongozi wako waliompa mkataba kocha kwa makubaliano ya kuwafikisha makundi Club bingwa ndio wanaelewa thamani ya makundi
 
hujui influence ya viporo kuelekea ubingwa

unajua upangaji wa matokeo ukoje

mkuu naomba nilale.

ila tangu ugunduzi wa soka hakuna. timu imewahi pewa viporo 12

cha kuumiza zaidi hata kombe haikuchukua ikaishia robo
Kwani timu gani iliwahi kupewa goal corner hapa duniani?
 
huku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana

mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana

makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.

umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
Hii comment umeandika huku ukiwa umefura kwa hasira.Utawezaje kuchukua ubingwa kama hujafika Group stage kisha robo na ukaendelea kwa Semi final kisha fainali yenyewe? Ulipaswa uisikitikie Yanga kama ni swala la kufika makundi or robo fainali ni "umaskini wa mafanikio' maana wao watakuwa mafukara hohe hae hawajawahi kufika hata hiyo group stage tangu 1998.

Tulishawazoea Mihogo FC,kwakuwa Kimataifa hampawezi kauli zenu za kujifariji huwa ni hizi "Nani anaongoza ligi", "Kila tukikutana nakupasua".Endeleeni kutupasua wala hatuna shida as long as tunaiwakilisha Nchi vema kimaTaifa.Huoni Rais wa Nchi huwa anapongeza kila hatua tunayovuka Kimataifa,mbona hakupongezeni Utopolo kwa kuongoza ligi au kuipasua Simba?
 
hivi yanga katika mechi 5 za mwisho na simba ya wanaume kafungwa ngapi, kashinda ngapi na ka draw ngap

5 chache tangu wakutane simba na yanga nani kapakatwa mara nyingi

ukijua rekodi hizo utajua yanga si wakufananishwa na timu yoyote bongo
Unaongelea Ushindi wa Yanga kibongo bongo Kwa msaada wa bahasha Kwa marefa?

Mtani hebu waza Kimataifa achana na hizi mechi za League ya nyumbani, hamuoni aibu kutolewa hatua za awali?
 
nusu ni nini hata kufika fainal mara 10 na kupigwa zote unabaki bwege tu

chukua kikombe ndo ujitape, unajitapa makundi ama robo ndo nini
Uwezo wenu wa kufikiri ndipo hapo unapoishia . Hatuna cha kuwasaidia.

Fikra zenu ni za ki mihogo mihogo tu.

Mwenzako makundi analamba bln 1.3 , taifa linanufaika kupeleka timu nne mashindano ya CAF wewe ubingwa wako wa nbc mln 500 mwaka mzima halafu unasema siyo mafanikio.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
hivi yanga katika mechi 5 za mwisho na simba ya wanaume kafungwa ngapi, kashinda ngapi na ka draw ngap

5 chache tangu wakutane simba na yanga nani kapakatwa mara nyingi

ukijua rekodi hizo utajua yanga si wakufananishwa na timu yoyote bongo
Kihistoria pamba ni kubwa kuliko azam

Kimpira azam ni kubwa kuliko pamba
 
anaye ongoza ligi ni nani
Ni yanga, tena mi nashangaa watu kuivheka yanga yenu jaman wakati kwenye mechi 5 za CAF mlizocheza msimu huu mmefunga magoli 10 na mmefungwa mawili tu huku sisi simba tunaowacheka tumefunga magoli 8 na kufungwa 1

ila kiufupi soka halifai nimegundua, yaan mtu ni unbeaten misimu miwil, CAF mechi tano umefungwa magoli 2 na umefunga 10 na bado unaongoza ligi lakin bado unaonekana mnyonge jamn football
 
huku kimataifa mnapo jificha huwa nacheka sana

mtu unaishia makundi, robo bado unajihisi una timu ya maana sana

makundi ni kichaka cha kujificha tu, waarabu huwezi kuta wanafurahia timu yao kuingia makundi maana si kitu cha maana.

umaskini wa mafanikio kwetu unafanya tuone makundi ama robo ni jambo la maana sana
Kila mtu na malengo yake. Kama vile utopolo lengo la kusajiri kina aziza, joyce, jiara, birigimana, nk ni kwaa ajili ya kifunfa ihefu, na kuikamia simba hapa bongo baasi. Ndio mpk leo mnajivunia kombe la 45 la unbeaten [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchezaji yoyote anaejitambua na kutaka kuendeleza soka lake hawezi kuchezea utopolo. Leo aziz ki anajuuta, aucho analia, jiara ndio kabisaa anajitukana tuu kila akilala, huyo joyce anaona bora angebaki alikotoka. Morisoni najilaumu ndio haishi kuwatukana wenzie.
Labda hapo mchezaji mwenye furaha ni mayele na bangala tuu maana wakongo wanabweteka kiraisi sana yaani wakiimbwa kwenye bendi wanakata mauno tuu.
 
Duh hii ndio system ya mpira wa wanawake?
Hiyo system yao wanachukua bingwa wa Kanda nane Africa nzima. Hao wote Asfar, Mamelode, Determine na wenzao ni wakongwe Kwenye hayo mashindano hadi mashindano ya dunia. Simba ameingia kwa mara ya kwanza baada ya kufanya vizuri Africa Mashariki. Mchujo ni mkali kwa kuwa Africa ina nchi nyingi (54), kwa hiyo hawataki ujinga.
 
nusu ni nini hata kufika fainal mara 10 na kupigwa zote unabaki bwege tu

chukua kikombe ndo ujitape, unajitapa makundi ama robo ndo nini
Mmmh, Sasa kwanni timu ikifika makundi inapewa hela(tena mabilioni), ikifika robo inapewa mpunga, ikifika nusu inapewa mpunga ikifika fainal inapewa mpunga...
Kwann wasitoe mpunga kwa aliyeshinda fainal tu kama huku kote hakuna maana?
 
Back
Top Bottom