Imefanikiwa kuweka rekodi ya kuwa timu ya kwanza ya Tanzania kufuzu kuingia Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake baada ya kuifunga Green Buffaloes ya Zambia.
Simba Queens ambayo ilipoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Determine Girls, imeshinda 2-0 dhidi ya Green Buffaloes wafungaji wakiwa ni Asha Djafari na Opah Clement.
Ikiwa na pointi sita katika michezo mitatu, timu hiyo imeungana na ASFAR Club kusonga mbele kutoka katika kundi hilo.
===========
Simba 2-0 Green Buffaloes
Simba 1-0 Green Buffaloes
Dakika ya 70