FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

FT: Simba Queens 2-0 Green Buffaloes | CAF Women's Champions League | 05-11-2022

Naona shabiki ya yanga anabwatuka sijaelewa sababu ni nini.

Achaneni naye huyo kavimbiwa mihogo.
 
Yanga ilianzishwa ili kucheza na Simba peke yake tu??

Kipimo cha ubora wa Yanga ni kwa kuifunga Simba tu?

Yanga waliposema malengo yao mwaka huu ni kufika hatua ya makundi ya Klab bingwa Afrika walikuwa wanalenga kufika kwenye hatua isiyo na maana kwao??
yanga ilianzishwa kushinda ubingwa tanzania na afrika kwa ujumla wake

hadi sasa ndo inaongoza kwa kuchukua ubingwa

je kuna nyie mlianzishwa kufungwa na yanga na kuishia robo fainal
 
yanga ilianzishwa kushinda ubingwa tanzania na afrika kwa ujumla wake

hadi sasa ndo inaongoza kwa kuchukua ubingwa

je kuna nyie mlianzishwa kufungwa na yanga na kuishia robo fainal
Simba inafungwa na timu nyingi sana, ila mwisho wa siku huchukua ubingwa pia. Hizo robo fainali unazozidharau ndizo zinaifanya Tanzania kuwa nchi pekee kwa Afrika Mashariki kuwa na timu nne kwenye mashindano ya Afrika.

ISHUKURUNI SIMBA!!
 
hivi yanga katika mechi 5 za mwisho na simba ya wanaume kafungwa ngapi, kashinda ngapi na ka draw ngap

5 chache tangu wakutane simba na yanga nani kapakatwa mara nyingi

ukijua rekodi hizo utajua yanga si wakufananishwa na timu yoyote bongo
Tufanye mechi 12 za mwisho mashindano yote, leta takwimu
 
Simba inafungwa na timu nyingi sana, ila mwisho wa siku huchukua ubingwa pia. Hizo robo fainali unazozidharau ndizo zinaifanya Tanzania kuwa nchi pekee kwa Afrika Mashariki kuwa na timu nne kwenye mashindano ya Afrika.

ISHUKURUNI SIMBA!!
mkuu umenikumbusha mtangazaji wa azam tv alikuwa na mawazo kama yako akaishia kuomba radhi

alitoka mbele ya kadamnasi kama wewe hivi akasema "yanga imebebwa simba kushiriki mashindano ya kimataifa"

watu wote wakatahamaki, baada ya bandiko langu utagundua makosa yako
 
Tufanye mechi 12 za mwisho mashindano yote, leta takwimu
bado yanga yuko vzr mkuu akifungwa moja na wewe pia umepasuliwa na azam alafu yanga ana goli nyingi mnooooo
 
Back
Top Bottom