Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kuna watu wanakula mihogo huko, watakuja kusema kwa kuwa Simba Queen walipangiwa timu dhaifu ndiyo maana wameshinda.Matokeo yakibaki hivi Simba Queens wanaenda Nusu Fainali,
Kuna ukweli wa mambo katika kauli yako🤣🤣Kuna watu wanakula mihogo huko, watakuja kusema kwa kuwa Simba Queen walipangiwa timu dhaifu.
Na hiki kitu ndicho kinachowaponzaKuna watu wanakula mihogo huko, watakuja kusema kwa kuwa Simba Queen walipangiwa timu dhaifu ndiyo maana wameshinda.
Mabingwa wa kihistoria wa bahashaEndelea kutupa update, yaani simba queen ya miaka michache ina mafanikio kuliko mabingwa wa kihistoria!?
Ushauri wa Jakaya wameutupilia mbali. Wako bize kumsikiliza Ashura cheupe!!
Kwa hatua hii Ina maana Simba Queen's imewashinda hadi Yanga iliyoishia kutolewa hatua za awali Champions League?Matokeo yakibaki hivi Simba Queens wanaenda Nusu Fainali
Agiza mkubwa waoKwa hatua hii Ina maana Simba Queen's imewashinda hadi Yanga iliyoishia kutolewa hatua za awali Champions League?
TFF ifanye Mpango kule Tunisia ikacheze Simba Queen's badala ya Yanga 🤪
Cha piliiiiiiiiii!Mabingwa wa kihistoria wa bahasha