FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Leo nimekuwa wakwanza kukoment, nipeni likes za kutosha wadau, kila lakheir mnyama.

Ila mwana unalalaga ukiwaza kuanzisha uzi tu wa mechi, hongera kwa umakini huu.
Hivi mtu akiwahi kuanzisha uzi huwa mnaumia ama ni vipi?

Maana huwa naona watu kama wana mind hivi mtu akianzisha uzi mara utasikia ohhh hulali unawaza kuanziaha uzi.

Ni ujinga tu. Mtu akianzisha uzi hata iwe usiku wa manane as long as hajavunjwa utaratibu wa JF wala wa nchi hakuna shida.
 
Usiku Wa Manane Unaanzisha Uzi..?

Babaake Haji na JK hawawezi Kufanya Upuuzi huo...! Ni hao tu ieleweke..!
 
Nilishangaa sana kuona Kanoute anapiga freekick tena zile za karibu kabisa na goal ambazo ni nafasi nzuri ya kufunga, Kanoute hana uwezo wa kupiga foul.

Onana alionyesha uwezo, ukiachana na ile aliyofunga hata zilizofata zilibaki kidogo tu zizae magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…