FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Huyu Michael huyu apewe muda

Kuna kitu mi na Benchika tumekiona
 
Huyu mbona kama ni winga? Kama ni winga inabidi kamati ya usajili ijiuzulu, haiwezekani tujaziwe mawinga kikosi kizima wakati kuna maeneo yanahitaji tiba
 
Bado washambuliaji wa simba hawaonyeshi ubora wao.
 
Match Day.
Simba Vs APR
View attachment 2862204

Msimamo wa Kundi B Ulivyo.
View attachment 2862206
Hii nimetengeneza mwenyewe, hivyo kama kuna error tujuzane.

Hapa Simba tunahitaji tu Draw yoyote ili tuweze kuingia robo fainali.

APR anahitaji kutufunga Goli 4 - 0 ili aweze kuingia robo.
Kitu ambacho hakiwezekani.

Akipata huo ushindi hapo atakuwa kapindua meza kwa Singida FG.

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA.
View attachment 2862791

KIKOSI CHA APR KINACHOANZA.
View attachment 2862793

#nguvumoja#

Game On.
Dakika ya 22
Simba 0-0 APR
Vijana wa Simba wanajitahidi sana kupiga ball
Moderator Active Inamaana hamjui kuwa Simba tunacheza?
Twende Live chap
 
Kidogo tukandwe. Imegonga mwamba.
 
APR wanaamini wanaweza kupindua meza?
hamna hiyo
 
Back
Top Bottom