FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Saido Hana utulivu kabisa, Huwa anakurupuka sana
 
Kanoute anachezewa rafu mbaya sana hapa
yuko chini
 
Jimmyson Mwanuke naye gharasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo uongo APR ameshafuzu. Nafasi mbili za "Best loser" zimechukuliwa na Jamhuri na APR zenye points katika makundi Yao na haziwezi kufikiwa na timu nyingine kwani hao wengine wameshamaliza Mechi na Wana points 2 tu.
 
Back
Top Bottom