kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Wala si mimi , Ni Manara ndo aliwaelezea nyie ni kina nani..? Wote Hamnazo toa Wawili tu....Kumbe Simba wamefanya rotation leo?
Hakika KICHWA KIPUMBAVU NI MZIGO KWA SHINGO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala si mimi , Ni Manara ndo aliwaelezea nyie ni kina nani..? Wote Hamnazo toa Wawili tu....Kumbe Simba wamefanya rotation leo?
Hakika KICHWA KIPUMBAVU NI MZIGO KWA SHINGO
Viongozi ni vilaza.Nimeona pia
Haliko livePira limeanza
KolowizadNyie mnaong'ang'ana na rotation kwani mnaumwa migongo? Fanyeni huko kwenu msitupangie kwetu...sisi tunaona ipo
Utowizard umekuja kuwanga humuKolowizad
Unataka kusikia nini?. 🤣Dakika ya 51 kipindi cha pili bado bila bila
Naona mnateseka sana.Utowizard umekuja kuwanga humu
Kwa sbb akili yako imeshajiaminisha kuwa amechoka..Saidooo.
Yyko hoi au naona mwenyewe?
Kama jana mliteseka na kale katimu hakako kwny ramani unashangaa sisi kupimana ubavu na mabingwa wa nchi yao?Naona mnateseka sana.
Naona Saido anahemia juu juu
Mtani mda si mrefu mtapata goli naona mnashambulia sanaUnataka kusikia nini?. 🤣