Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Imeisha hiyoo..Mungu wetu ni msikivuMungu Ibariki Simba..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hiyoo..Mungu wetu ni msikivuMungu Ibariki Simba..
Anakimbia kasi anaangalia chini sijui anaonaje anapokwenda.Saido Hana utulivu kabisa, Huwa anakurupuka sana
Hahahaa! Anatanguliza mpira mbali unaishia kwa aduiAnakimbia kasi anaangalia chini sijui anaonaje anapokwenda.
Wote Simba na APR wameshaingia hiyo robo final. Zinaendelea timu 3 sio 2Anakimbia kasi anaangalia chini sijui anaonaje anapokwenda.
Charamba ndo mbdala wa Chama?Huyu Chilambo Kuna kitu anacho, akikaa na wachezaji wanaojielewa
Oyaa 😁🤣🤣🤣Wanazingua ukute wapo wanatafuta namna ya kumbinya popoma le grand
Charamba ndiyo nani? Hebu eleweka mkuuCharamba ndo mbdala wa Chama?
Anaonekana ana spidi..Huyu Chilambo Kuna kitu anacho, akikaa na wachezaji wanaojielewa