FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

FT: Simba SC 0 - 0 APR SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | 05.01.2024

Hatumlaumu kocha lakini kitendo cha kutoona kuwa Baleke mzigo kwenye mechi hii hilo ni tatizo
 
Viongozi wa simba wana shida sana, yaani kweli tumeshindwa kupata forward Africa hii
 
washindee. Hata dk ya 97 kama yanga jamani.....Simba tupenirahaa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Dakika ya 87 simba wanaendelea kushambulia lol Moses phiri anakosa goli la wazi
 
Dakika ya 87 simba wanaendelea kushambulia lol Moses phiri anakosa goli la wazi
 
tusikatetamaaa tumsomeshe refaaa aongeze dk kama za yanga atukosi kamoja
 
Back
Top Bottom