FT: Simba Sc 0 - 0 Nsingizini hotspurs l CAF CL l second preliminary round l 2nd Leg l Benjamin Mkapa Stadium l 26-10-2025 l 16:00pm.

Kesho usiku itakuwa breaking news
Ma tattoo kafukuzwa bila hata kusubiri xmass
 
A day of performance!!
Mabibi na mabwana, karibuni mfurahie pira Pantev..One touch football.
In Tannzania we call it pira birian.
In South Africa they call it Shoeshine and piano.
In Spain it is called Tik taka football

Ladies and gentlemen, welcome to the Show
 
Msemaji wenu alikuwa anaombea timu zote zitolewe, ibaki 5imba tu ili muendeleze ngebe za kwamba makolo pekee ndio wanaweza kimataifa.
 
Mashabiki mjitokeze kwa wingi leo uwanjani kuitazama hiyo mech ili mshinde goli nyingi na hivyo timu kupata hela ya kutosha ya kiingilio, na ile ya goli la mama!

Kumbukeni njaa haina baunsa.
 
Mashabiki mjitokeze kwa wingi leo uwanjani kuitazama hiyo mech ili mshinde goli nyingi na hivyo timu kupata hela ya kutosha ya kiingilio, na ile ya goli la mama!

Kumbukeni njaa haina baunsa.
Punguza ushauri
 
Nsingizini shabiki kindakindaki nipo hapa
Ft Simba 0
Nsingizini 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…